Azam FC yathibitisha kupokea barua ya Yanga
Tetesi za dirisha dogo la Usajili 2022/2023, Usajili Yanga, tetesi za Usajili Yanga SC, Tetesi za Usajili Young Africans, Usajili Young Africans, Tetesi za Usajili Yanga, tetesi za Usajili, Usajili Yanga, Nabi ataka watatu Yanga, Usajili Yanga leo, Usajili Yanga SC, Usajili Yanga Sports Club, Usajili Young Africans, Usajili Yanga.
- TETESI Usajili Ligi Kuu dirisha dogo la usajili 2022/2023?
- MFAHAMU Feisal Salum Abdallah “Fei Toto”
- MAJINA ya waliochaguliwa Kujiunga na VETA Tanzania 2023
KLABU ya Azam FC imethibitisha kupokea maombi kutoka klabu ya Yanga SC kuwahitaji wachezaji wao wawili, ambao ni James Akaminko pamoja na Kipre Junior.
Azam imeeleza hayo kupitia kwa kaimu Afisa habari wa klabu hiyo ndugu Hasheem Ibwe kuwa itajibu ombi hilo hivi karibuni.
“Bodi yetu itakaa kujadili barua ya Yanga iliyoandikwa na CEO wa Yanga Andre Mtine ikihitaji huduma za Wachezaji wetu Kipre Junior na James Akaminko ”
- NECTA Matokeo ya Darasa la Saba 2022/2023
- MAJINA ya Wanafunzi na Shule walizochaguliwa form one 2023
- Msimamo Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
“Football ni biashara baada ya mchezo wetu dhidi ya Mbeya city, ndani ya siku 7 bodi itakutana kujadili, Tutazungumza na benchi la ufundi kisha tutaongea na Wachezaji wenyewe Kama Yanga watafikia kile tunachokihitaji tutafanya Biashara”
Aidha Popat amewakumbusha deni la shilingi milioni 10 la uhamisho wa Gadiel Michael kutoka Azam kwenda Yanga mwaka 2017 ambazo hazijalipwa hadi leo.
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- Simba yapangwa kundi C CAF Champions League 2022/2023
- Yanga yapangwa kundi D CAF Confederation Cup 2022/2023
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
- PATA bonasi hadi 230000 na Helabet Tanzania
- JINSI ya kuweka Pesa Helabet Tanzania
- Jinsi ya kujisajili na HELABET Tanzania
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
DONWLOAD HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.
Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili.
The post Azam FC yathibitisha kupokea barua ya Yanga appeared first on Nijuze Mpya.
Post a Comment