YANGA yaifutua Club Africain, mmoja abaki Dar
MATOKEO Club Africain vs Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023, CAF Confederations Cup 2022, Yanga vs Club Africain Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga vs Club Africain Kombe la Shirikisho, Yanga vs Club Africain, Live Yanga vs Club Africain, Matokeo ya Yanga SC vs Club Africain leo, Yanga SC vs Club Africain, Matokeo Yanga vs Club Africain November 09 2022, Club Africain vs Yanga leo, Live Yanga vs Club Africain, Matokeo Yanga v Club Africain leo, Yanga vs Club Africain, Club Africain vs Yanga, CAF Confederation Cup 2022, Yanga vs Club Africain CAF Confederation Cup
KIKOSI cha Young Africans SC kiliwasili salama Dubai jana usiku majira ya saa 3:25 kwa saa za Tanzania na kuelekea kwenye hoteli ya Copthorne kwaajili ya kupumzika kabla ya kuendelea na safari asubuhi ya leo.YANGA yaifutua Club Africain, mmoja abaki Dar
Yanga imeondoka Dubai saa 2:15 asubuhi na kuanza safari ya takribani masaa 7 kuelekea Jijini Tunis, kwaajili ya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho la CAF dhidi ya Club Africain.
Katika mchezo wa kwanza uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, ulimalizika kwa sare ya 0-0 hivyo ili Yanga tufuzu kwenye hatua ya makundi tunatakiwa kushinda au kupata sare yoyote ya mabao.
- MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumamosi November 05 2022
MATOKEO ya SENSA Tanzania 2022
RATIBA Kamili na Makundi ya Kombe la Dunia Qatar 2022
DOWNLOAD App ya Yanga HAPA
MSIMAMO NBC Premier League 2022/2023
WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji NBC Premier League 2022/2023
PATA Namba yako ya NIDA hapa | Download ID Number Tanzania
RATIBA ya Mechi za Simba msimu wa 2022/2023
RATIBA ya Mechi za Yanga msimu wa 2022/2023
RATIBA ya Ligi Kuu Tanzania Bara | NBC Premier League 2022/2023
Msafara wa Young Africans SC uliondoka nchini jana mchana ukiwa ma wachezaji 21, benchi la ufundi 10 na viongozi 9, huku beki kisiki Djuma Shaaban akiikosa safari hiyo kutokana na kuuguza majeraha ya nyama za paja aliyoyapata kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold FC.YANGA yaifutua Club Africain, mmoja abaki Dar
Katika hatua nyingine, Kampuni Bora ya kubet Tanzania SOKABET inakukaribisha kuweka bashiri zako katika Michezo Mbalimbali kama LIVE Casino, Slots, Zeppelin, Virtual Game, Basketball na Mpira wa Miguu.
Faida ya kuweka bashiri zako kupitia SOKABET ni upatikanaji wa Bonusi za Viwango, kama 100% kwa wekezo la kwanza, 10% kwa Casino na Mpira wa Miguu Pamoja na Multibonus hadi 750.YANGA yaifutua Club Africain, mmoja abaki Dar
Sehemu pekee ya kupiga pesa kiurahisi na kufanya miamala kwa haraka zaidi ni SOKABET the best sports Betting in Tanzania.
Aidha Nijuze Habari Kupitia nijuzehabari.co.tz tutakuleta moja kwa moja Matokeo ya mchezo huo unaotarajiwa kupigwa Jumatano ya tarehe 9 November 2022 kwenye Uwanja wa Hammedi Agrebi Olympic nchini Tunisia, majira ya saa 10:00 jioni kwa masaa ya Tanzania.
Pamoja na Matokeo pia Nijuze Habari itakuletea Kikosi Cha Young Africans Kitachoanza dhidi ya Club Africain mapema iwezekanavyo.
The post YANGA yaifutua Club Africain, mmoja abaki Dar appeared first on Nijuze Mpya.
Post a Comment