YANGA yatupwa Shirikisho CAF
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara ( NBC Premier League), Klabu ya Yanga SC imeangukia kwenye Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Al Hilal bao 1-0.
Yanga imepoteza mchezo huo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na kuondolewa kwenye Michuano hiyo kwa jumla ya mabao 2-1.
Bao pekee la Al Hilal kwenye mchezo huo lilifungwa dakika ya 3 na Mohammed Abdulrahman Yousif akimalizia krosi iliyopigwa na Kiungo Yassir Muzamir.
Taarifa zaidi ya mchezo huu bofya HAPA
The post YANGA yatupwa Shirikisho CAF appeared first on Nijuze Mpya.
Post a Comment