SIMBA Queens kuondoka kesho | CAF Women’s Champions League 2022

SIMBA Queens kuondoka kesho | CAF Women's Champions League 2022

SIMBA Queens kuondoka kesho | CAF Women’s Champions League 2022

Ratiba Kamili ya Simba Queens Women’s Champions League 2022

Charles Lukula Kocha Mkuu Simba Queens SC

Charles Lukula Kocha Mkuu Simba Queens SC

KOCHA Mkuu wa timu ya Wanawake ya Simba Queens, Charles Lukula amesema kikosi hicho kitaondoka kesho alfajiri kuelekea nchini Morocco kikiwa na matumaini ya kufanya vizuri kwenye Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF Champions League) kutokana na maandalizi waliyoyafanya.

Lukula amesema kuwa Michuano itakuwa migumu na timu zote zilizofanikiwa kupata nafasi ya Kushiriki zipo vizuri, hivo Simba Queens imejipanga kuhakikisha tunaenda inafanya vizuri.

VIINGILIO Yanga SC vs KMC FC October 26 2022 | NBC Premier League

Akizungumzia kuhusu hali ya kikosi, Lukula amesema kuwa Wachezaji wake wapo kwenye hali nzuri na nyota wote 25 ambao wamepangwa kusafiri wako kamili na tayari kwa mashindano.

“Tunakwenda kwenye mashindano haya tukiwa tuko tayari, kikosi kipo kamili hakuna mchezaji yeyote ambaye ni majeruhi. Tumefanikiwa kupata mechi kadhaa za kirafiki kwa hiyo tuko tayari,” amesema Lukula.

Opa Clement Nahodha wa Simba Queens SC

Opa Clement Nahodha wa Simba Queens SC

Kwa upande wake Nahodha Opa Clement, amesema kuwa Wachezaji wanajua Malengo ni kuhakikisha wanafika Nusu Fainali ya Michuano hiyo japo haitakuwa rahisi.

Yanga yafunguka ishu ya Nabi kuondoka

“Tunawashukuru Viongozi wetu kwa sapoti kubwa wanayotupatia, wamekuwa wakiweka mazingira yetu ya kazi kuwa rahisi, kikubwa tunawaomba mashabiki waendelee kutuombea ingawa hawatakuwepo uwanjani,” amesema Opa.

Ahmed Ally Afisa Habari Simba SC

Ahmed Ally Afisa Habari Simba SC

“Kikosi cha wachezaji 25 benchi la ufundi, viongozi na Waandishi wa Habari kinaondoka kesho alfajiri Oktoba 26 kuelekea Morocco tayari kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

“Kikosi kitaondoka na Ndege ya Shirika la Ndege la Uturuki (Turkish Airlines) ambapo itapitia Uturuki kabla ya kufika Morocco.” Ahmed Ally

SIMBA Queens kuondoka kesho | CAF Women's Champions League 2022

SIMBA Queens kuondoka kesho | CAF Women’s Champions League 2022

RUDISHIWA Pesa yako na Gal Sport timu moja ikichana mkeka

Umekosa mechi moja?

Gal Sport Betting pekee inakupa nafasi ya kurudishiwa kiasi cha fedha ikiwa umekosa mechi moja. Ukiwa umeweka mechi zaidi ya moja na kuendelea na odds zako zikafika 25 basi ujapoteza vyote. Utarudishiwa kiasi kulingana na kigezo husika.

Mfano

Ukiwa umebashiri mechi kumi kwa dau la Tshs 10,000 ukitegemea kupata Tshs 2,000,000

Lakini mechi mojawapo yenye odd ya 2.0 ikakuchania mkeka wako, hivi ndivyo utakavyolipwa.

Jumla ya Odds 100
Mechi iliyopoteza ina odd 2.0

Ukiachana na mechi hii, jumla ya odds zako ni 100.0 basi tutakulipa mara tano ya kiasi chako ulichobashiria 50,000 (5 X 10,000) ambayo tutaiweka kwenye akaunti yako.

JISAJILI NA GAL SPORT kwa kubofya HAPA Kisha jaza taarifa zako kwa kufuata mtiririko huu👇.

JINSI Ya Kujisajili na Gal Sport

1:Ingia kwenye tovuti yetu www.gsb.co.tz
2:Bonyeza kwenye Jiunge
3:Weka namba yako ya simu kwaajili ya kujisajili
4:Jaza neno la siri, inatakiwa liwe na tarakimu zisizopungua 8 ukichanganya herufi na namba.
5:Jaza jina lako la kwanza na la mwisho
6:Usijaze sehemu ya promo-code
7:Kubali Vigezo na Masharti
8:Mwisho, bonyeza Ingia.

Utapokea code ya uthibitisho kama ujumbe kwenye simu yako; Ingiza code hizo kuthibitisha akaunti yako

Angalia Jedwali hili kwa kufafanua.

Kiwango cha chini cha mechi Kiwango cha chini cha kushindwa mechi Odds ukitoa odds za mechi uliyoshindwa Idadi ya mrejesho wa kiasi ulichobashiria

2

1

25+

1 x Stakes

2

1

45+

2 x Stakes

2

1

60+

3 x Stakes

2

1

90+

5 x Stakes

2

1

450+

10 x Stakes

2

1

750+

50 x Stakes

Gal Sport Betting pekee inakupa nafasi ya kurudishiwa kiasi cha fedha ikiwa umekosa mechi moja.

Ukiwa umeweka mechi zaidi ya moja na kuendelea na odds zako zikafika 25 basi haujapoteza vyote.

Utarudishiwa kiasi kulingana na kigezo husika.

1:Kuangalia mikeka yako, Ingia kwenye akaunti yako.
2:Bonyeza mikeka yangu
3:Utaona mikeka yako yote ya nyuma, kwa mfano mikeka ya leo au siku tatu za nyuma au hata mwezi nk.

Kiwango cha chin cha kubashiri ni Tsh 500

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya | Jisajili hapa Kushinda Zawadi

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya

BETI NA PARMATCH USHINDE MAMILIONI

Kampuni ya Michezo ya KUBETI na KASINO za Mtandaoni Tanzania PARMATCH imezindua Ofa mpya ya Bonasi kwa Wateja wapya.

Kila mteja mpya atakayejisajili na PARMATCH atajinyakulia BONASI sawa na kiasi alichoweka kwa mara ya kwanza kuanzia Shilingi 1,000 hadi milioni moja kwa kila mteja.

Akizungumza katika uzinduzi wa BONASI hiyo Afisa Masoko wa Parmatch amesema kuwa Bonasi hiyo itawahusu wateja wapya watakaojisajili na kuweka salio kwenye akaunti zao.

Ili uweze kujisajili na PARMATCH unatakiwa kutembelea tovuti yao kwa kugusa HAPA Kisha Jisajili.

Kujiunga na PARMATCH na kupata Bonasi ya hadi 1,000,000 (Milioni Moja) Ukideposit salio kwenye akaunti yako Bofya HAPA.

Unaweza kupata Taarifa hii kwa undani zaidi kwa kubofya Parmatch.co.tz

FAHAMU Kampuni ambazo timu moja haichani mkeka wako

FAHAMU Kampuni ambazo timu moja haichani mkeka wakoJambo ambalo linaumiza Sana kwa wawekezaji wa michezo ya betting ni kuona timu moja inakukosesha Pesa kwa kuwa Matokeo yalienda tofauti na ulivyo tabiri huku timu nyingine katika mkeka zikienda vyema.

Chaguo la Cash out bado halitoshi kuokoa mikeka yako hivyo katika makala hii nimekuorodheshea Kampuni ambazo hata ukipoteza Mechi yako katika tiketi yako bado utalipwa na kuhesabika kuwa umeshinda.

Kampuni hizo ambazo kulost timu moja hakukuchanii mkeka ni hizi hapa chini;

  • Gal sport Tanzania kupita Gal sport unaweza kuokoa mkeka wako kwa asilimia 50% pale timu moja itakapoenda ndivyo sivyo katika mkeka wako, kujiunga na Gal sport Tanzania Bofya HAPA

Muhimu kila kampuni huwa na vigezo na masharti yake hivyo ni vyema kuangalia katika kampuni husika.

Mpaka hapo utakuwa unaweza kuokoa mikeka yako unayochanwa na timu moja.

IFAHAMU Faida ya kuwa na App ya Nijuze Habari kwenye simu yako.

IFAHAMU Faida ya kuwa na App ya Nijuze Habari kwenye simu yako.IFAHAMU Faida ya kuwa na App ya Nijuze Habari kwenye simu yako.

FAIDA YA KUWA NA NIJUZE HABARI APPUkiwa na App hii utapata Kutazama Mubashara Mechi za Tanzania na nje ya Tanzania kwa kuchagua Category ya MECHI LIVE kwenye App yetu.

Pia utaweka kutazam habari na Matukio mbali mbali Mubashara masaa 24 kutoka Channel za TBC ONE, CHANNEL TEN, STAR TV, EATV, ABOOD TV na nyinginezo.

Wapenzi wa MUZIKI wataweza kutazama Mubashara nyimbo mpya na za zamani kwa masaa 24 kutoka Tanzania na nje ya Tanzania kupitia Channel za TBC TWO, SANYUKA TV, TV 47, AFRO BEAT na nyinginezo.

Aidha kwenye Category ya DINI utapata Kutazama Mubashara Kiganjani mwako Channel ya IBN, Channel ya Nabii Mwamposa (A RISE AND SHINE) pamoja na ABOOD TV.

Kwa Upande wa Kusikiliza Radio, tumekuwekea radio za CLOUDS FM, EA RADIO, UFM na BONGO FLEVA kwaajili nyimbo zote mpya na zamani.

Nijuze Habari bado tunaendela kuongeza Channel na habari kwenye App yetu ili kukupa kilicho bora zaidi, hivo endelea kuwa na App yetu update yoyote mpya.

Sambaza App yetu kwa ndugu jamaa na marafiki, waibie hii siri ili wasipitwe na burudani hizi moto moto.

BOFYA HAPA KUDOWNLOAD BURE KUTAZAMA MUBASHARA TAARIFA ZOTE.

DOWNLOAD App Yetu Mpya Kutazama Mechi Mubashara, Magazeti ya Kila Siku asubuhi Pamoja Na Habari Nyingine Nyingi.

Download Bure App mpya ya Nijuze Habari kuweza kuangalia Mpira na utaweza kuona Matokeo na Ratiba ya ligi zote kubwa Duniani.

FAHAMU Jinsi ya Kubeti kwenye Simu na Parmatch | Kwanini Ubeti na Parmatch?

FAHAMU Jinsi ya Kubeti kwenye Simu na Parmatch | Kwanini Ubeti na Parmatch?

Jinsi ya Kubeti kwenye Simu na Parmatch

Takwimu zinasema kwamba kubeti kwa simu ya mkononi ndio mtindo mkubwa leo kwa sababu uhusisha sehemu kubwa ya soko la kubeti kiujumla. Zaidi ya hilo, kunatarajiwa kukua katika miaka kumi ijayo.

Kama wewe ni mpya kwenye kubeti, ukijaribu kuweka mikeka ya kwanza au wewe ni mtaalamu mwenye uzoefu unayetafuta machaguo mazuri zaidi ya kubeti kwa simu ya mkononi, Parimatch ndio haswa kile unachokitafuta! Ni jukwaa la kubeti linaloaminika na lililothibitika kufanya kazi Tanzania ambalo hutoa huduma nzuri zaidi za sehemu ya kubetia.

Kubeti Michezo kwa Simu ya Mkononi ni Nini?

Kitu chenyewe ni kwamba umiliki wa simu janja unaongezeka kwa kasi ulimwenguni kote. Wamiliki wa tovuti za kubeti kwa simu za mkononi wanatambua mtindo huu na wanaitikia ipasavyo ili wasipoteze wateja wao.

Siku hizi, sehemu zote za kubetia zinazofahamika vizuri na zenye sifa nzuri — ikihusisha Parimatch — zina matoleo ya simu za mkononi. Baadhi ya majukwaa ya kubeti yamelenga kwenye kuunda app za kubeti mtandaoni kwa simu ya mkononi yakifukuzia lengo la kufanya kubeti kuwe rahisi zaidi.

Wengine wanaunda toleo la simu ya mkononi la tovuti yao na kulifanya kuwa bora kabisa. Parimatch hufanya kazi katika pande zote mbili.

Kutokana na uzoefu wetu, tunajua kwamba kubeti kwa simu ya mkononi ni suluhisho la haraka sana na rahisi sana kwa wale wanaopendelea kubeti muda wowote na mahali popote.

FAHAMU Jinsi ya Kubeti kwenye Simu na Parmatch | Kwanini Ubeti na Parmatch?

FAHAMU Jinsi ya Kubeti kwenye Simu na Parmatch | Kwanini Ubeti na Parmatch?

Kubeti kwa Simu ya Mkononi Kunatofautiana Vipi na Kubeti kwenye Kompyuta?

Kubeti kwa simu ya mkononi humaanisha kutumia simu yako janja kuweka mikeka. Kwa ujumla, hakuna tofauti kubwa kati ya kubeti kwa simu ya mkononi na kubeti kwa kompyuta.

Unatumia huduma za jukwaa hilo hilo lakini kutoka kwenye vifaa tofauti. Nafasi, marupurupu, na bonasi ni sawa kwa watumiaji wote. Unahitaji tu kupakua app ya simu ya mkononi kutoka App Store au Google Play Market. Hata hivyo, kunaweza kuwa na tofauti baadhi zinazohusiana na mchakato wa kubeti. Kiolesura cha mtumiaji pia ni tofauti.

Faida za Juu za Kubeti kwa Simu ya Mkononi

Asante kwa teknolojia inayoendelea kubadilika, unaweza kuweka mikeka yako muda wowote na mahali popote kabisa. Unahitaji tu kuwa na chombo cha mkononi chenye mwunganisho wa intaneti.

Acha tupitie faida kuu za kubeti kwa simu ya mkononi.

1.Huokoa muda wako

Sote tuna vyombo vya mikononi vilivyowashwa muda wote. Unaweza kupakua app na kuweka mikeka yako ukiwa mahali popote duniani. Hakuna uhitaji wa kusubiri mpaka uwe mbele ya kompyuta yako.

2.Una machaguo zaidi

App za simu za mkononi zinaweza kuwa na machaguo zaidi kwaajili ya watumiaji wake. Mameneja ubashiri wa simu za mkononi hujitahidi kuwapa watumiaji wao matukio mbalimbali ya kimichezo. Zaidi ya hayo, app za simu za mkononi kwa kawaida zina machaguo zaidi ya kuchagua.

3.Utahabarishwa kila wakati

App za simu za mkononi zinaweza kukuarifu kuhusu matangazo mazuri zaidi au matukio yanayokuja. Zaidi ya hilo, daima utahabarishwa kuhusu nini kinatokea katika dunia ya kubeti. Takwimu za muda huo huo zinapatikana 24/7. Zaidi ya hayo, ni rahisi zaidi kufuatilia hasara na faida zako.

4.Malipo ni rahisi

Hauhitaji kutumia kompyuta yako mpakato kutoa pesa. Ukiwa na app ya kubetia, kwa urahisi utatoa pesa wakati wowote; mibofyo michache tu inahitajika.

5.Unaweza kutumia app yako wakati wowote

Mchana au usiku, unaweza kuweka mikeka 24/7 kutoka kwenye app yako ya simu ya mkononi.

Mafadhaiko Makubwa Zaidi na Kubeti kwa Simu ya Mkononi

Haya hapa ni masuala machache ambayo yanaweza kukukatisha tamaa wakati unatumia app za kubeti kwa simu ya mkononi:

1.Unahitaji kubadili badili kati ya kurasa

Hata hivyo, mengi hutegemea kwenye app ya kubeti mtandaoni au aina ya mikeka ambayo unatumia. Wakati mwingine, unahitaji kuhama kati ya kurasa kwaajili ya kuangalia mikeka ya timu moja kushinda, utofauti, au jumla.

Ni dhahiri kwamba unataka kuwa na taarifa zote zipatikane kwenye skrini. Lakini kubeti kwa simu ya mkononi hakuwezi kukidhi hitaji hili; unahitaji kubadili badili kati ya kurasa kufuatilia mabadiliko.

Kwenye Parimatch, daima tunafanya kazi kuufanya uzoefu wako wa utumiaji kuwa mzuri zaidi. Hivyo tunajali kwamba daima uwe na taarifa unazohitaji.

2.Unaweza kukumbana na changamoto za kuingia

Unapoweka mikeka kwenye chombo chako cha mkononi, unaruhusiwa kuweka mikeka kwenye michezo ambayo inaendelea. Kwa hiyo, unataka kufuatilia matokeo na kufanya kila kitu kusasisha mchezo. Lakini wakati mwingine unaweza kutolewa nje kipindi ambacho hakikutarajiwa kabisa.

Wakati ni kitu ambacho hutokea kwenye app nyingi, kwenye Parimatch tunajitahidi kuhakikisha app yetu inafanya kazi vizuri muda wote.

Unaweka Vipi Mikeka na App ya Kubeti ya Parimatch

Kubeti kwenye Parimatch ni rahisi na wazi. Zaidi ya hilo, kuna sababu nyingi kwanini unahitaji kutumia jukwaa hili (hasa kama app kwa ajili ya kubetia mpira wa miguu): mkusanyiko mpana wa mechi za soka, kubeti mubashara, vipengele rahisi vya kuweka pesa kwa simu ya mkononi, na msaada kwa wateja rafiki.

Kama mwishowe unataka kujaribu mbinu yako ya kubeti na Parimatch, inakubidi upakue Parimatch APK mara moja! Utaratibu huu huchukua sekunde chache tu.

Huu hapa ni mwongozo wa kina juu ya jinsi ya kupakua app ya Parimatch na mwishowe kufurahia kubeti kwa simu ya mkononi:

  • Kwenye simu yako ya mkononi, nenda kwenye tovuti yetu parimatch.co.tz na bonyeza kitufe cha kati.

Parimatch menu button on mobile website

  • Menyu ya Parimatch itafunguka. Unahitaji kuchagua “Apps Android/iOS”.

Parimatch app in a menu 

  • App (Parimatch APK) itapakuliwa na kusanikishwa papo hapo.
  • Kama mchakato huu hauanzi, nenda kwenye mipangilio ya usalama kwenye simu yako na wezesha upakuaji app kutoka kwenye vyanzo visivyojulikana.
  • Tafuta app ya Parimatch ya Tanzania kwenye skrini ya simu yako na ibonyeze.
  • App itakuomba kupitia utaratibu rahisi wa usajili. Huwezi kuweka mikeka mpaka utie sahihi. Huchukua sekunde chache; unahitaji tu kuthibitisha namba yako ya simu (au barua pepe) na kuweka nenosiri.

Parimatch app login screen

  • Weka pesa kiasi kuanza kubeti
  • Nenda kwenye Michezo au Mubashara na pitia kuangalia michezo na mechi zinazopatikana.
  • Chagua mchezo na nini cha kubetia. Bofya kwenye mechi maalum kwaajili ya machaguo yote yanayopatikana.

Betting on football match with Parimatch app

  • Weka mikeka yako.
  • Ingiza dau lako na thibitisha mikeka yako!

Kama unataka kufuatilia mikeka yako inatakiwa uende kwenye sehemu ya “Mikeka Yangu”. Katika sehemu hii, unaweza pia kuchagua kubebenisha mikeka au mikeka ya mfumo.

The post SIMBA Queens kuondoka kesho | CAF Women’s Champions League 2022 appeared first on Nijuze Mpya.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post