LIVE Geita Gold vs Yanga October 29 2022
Geita Gold FC vs Yanga, Matokeo Geita Gold FC vs Yanga SC October 29 2022, Matokeo Yanga SC vs Geita Gold FC NBC Premier League 2022/2023, Matokeo Yanga vs Geita Gold October 29 2022, Young Africans SC vs Geita FC October 29 2022, Magoli waliyofunga Yanga vs Geita.
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) watashuka kwenye Uwanja wa CCM Kirumba kumenyana na Geita Gold ya Geita ukiwa ni Mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League)
Mchezo mwingine muhimu kwa Young Africans kusaka pointi tatu ili kuendelea kujichimbia kileleni mwa Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC.
Hata hivyo ni mchezo unaotarajiwa kuwa na upinzani mkali kutokana na ubora wa timu zote.
Aidha mchezo huo utakuwa sehemu ya Maandalizi kuelekea Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Club Africain ya Tunisia unaotarajiwa kupigwa Jumatano ya November 02, 2022.
Sambamba na hilo Kampuni Bora ya kubet Tanzania SOKABET inakukaribisha kuweka bashiri zako katika Michezo Mbalimbali kama LIVE Casino, Slots, Zeppelin, Virtual Game, Basketball na Mpira wa Miguu.
Faida ya kuweka bashiri zako kupitia SOKABET ni upatikanaji wa Bonusi za Viwango, kama 100% kwa wekezo la kwanza, 10% kwa Casino na Mpira wa Miguu Pamoja na Multibonus hadi 750.
Sehemu pekee ya kupiga pesa kiurahisi na kufanya miamala kwa haraka zaidi ni SOKABET the best sports Betting in Tanzania.
Aidha Nijuze Habari Kupitia nijuzehabari.co.tz tutakuleta moja kwa moja Matokeo ya mchezo huo unaotarajiwa kupigwa Leo Jumamosi ya October 29,2022 kuanzia saa 10:00 Jioni kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Jijini Mwanza.
Pamoja na Matokeo pia Nijuze Habari itakuletea Kikosi Cha Young Africans Kinachoanza dhidi ya Geita Gold FC mapema iwezekanavyo.
KUONA Kikosi Cha Yanga SC kinachoanza vs Geita Gold Bofya HAPA
LIVE Geita Gold vs Yanga October 29 2022
KUONA Matokeo ya Mchezo huo Kati ya Geita Gold FC vs Young Africans Bofya HAPA.
Msimamo wa Ligi, Yanga vs Geita Mechi walizokutana, Head to head Yanga vs Geita Gold, Yanga vs Geita CCM Kirumba.Yanga SC vs Geita, Matokeo ya Yanga vs Geita, Matokeo Yanga vs Geita leo, Matokeo Geita vs Yanga leo, LIVE Yanga SC Geita, Live Yanga vs Geita Gold October 29 2022, Yanga vs Geita, Geita vs Yanga, Yanga SC vs Geita Gold.
The post LIVE Geita Gold vs Yanga October 29 2022 appeared first on Nijuze Mpya.
Post a Comment