KIKOSI Cha Yanga SC vs Ruvu Shooting FC October 03 2022 NBC Premier League
Young Africans vs Ruvu Shooting,Yanga vs Ruvu Shooting, Ruvu Shooting vs Young Africans Results, Kikosi Cha Yanga vs Ruvu Shooting Leo,Kikosi cha Yanga vs Ruvu leo, Kikosi cha Yanga vs Ruvu Shooting October 03,2022.
BAADA ya Mapumziko ya wiki mbili kupisha Kalenda ya FIFA, Klabu ya Yanga leo Jumatatu inarejea ‘mzigoni’ katika Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023).
Mchezo huo utachezwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia majira ya saa 12:15 jioni, huku Yanga SC wakiwa wageni wa Maafande wa Ruvu Shooting katika mchezo unaotarajiwa kuwa na upinzani mkali.
Kuelekea mchezo huo, Yanga leo inatarajiwa kuwakosa baadhi ya wachezaji kama Jesus Moloko, Chrispine Ngushi, Gael Bigirimana, Khalid Aucho, Bernard Morrison na Stephane Aziz Ki kutokana na sababu mbalimbali.
Aidha Nijuze Habari kupitia nijuzehabari.co.tz itakuletea Live update ya mchezo huo, kuanzia saa 12:15 jioni.
Kuona Matokeo ya Mchezo huo Bofya HAPA, kuona Kikosi Bofya HAPA.
Kikosi Cha Yanga vs Ruvu Shooting leo 3.10.2022,Kikosi Cha Yanga sc vs Ruvu Shooting leo tarehe 3.10.2022 NBC Premier League, Kikosi cha Yanga leo October 3 2022.
Katika historia ya klabu ya Ruvu Shooting, tokea ipande Ligi Kuu Tanzania Bara mwaka 2010 imeshinda mchezo mmoja tu dhidi Mabingwa watetezi wa Ligi hiyo Young Africans SC.
Timu hizo zimekutana mara 22, Yanga ikishinda michezo 17, sare 4 na Ruvu kushinda mchezo mmoja pekee mnamo August 28, 2019 bao pekee la Mohamed Saadat.
Kocha pekee ambaye amewahi kupata ushindi dhidi ya Yanga akiwa Ruvu Shooting sio mwingine bali ni Charles Boniface Mkwassa ambaye aliwahi kuwa Kocha wa Yanga pia.
Katika Michezo hiyo 22 Yanga imefunga jumla ya magoli 42, ikiruhusu kufungwa magoli 13
Mchezo wa Kwanza wa Yanga na Ruvu Shooting ulikuwa September 26 2011 ambapo Yanga iliibuka na Ushindi wa magoli 2-0.
Mechi ya mwisho ilikuwa ya sare tasa 0-0, May 04, 2021 katika mchezo ambao ulikuwa na ushindani mkubwa.
Ushindi mkubwa wa Yanga dhidi ya Ruvu Shooting ni kama ifuatavyo
22/02/2014
Ruvu Shooting 0-7 Yanga
24/04/2014
Ruvu Shooting 0-5 Yanga
Kiungo Mshambuliaji wa Yanga Feisal Salum Abdallah ‘Fei toto’ ndiye Mchezaji aliyefunga magoli mengi dhidi ya Ruvu Shooting, akifunga jumla ya mabao manne (4), December 2018 (1), June 2021 (2) na November 201 (1).
-
WAFAHAMU Al Hilal Wapinzani wa Yanga CAF Champions League 2022/2023
-
MABADILIKO ya ratiba NBC Premier League 2022/2023
The post KIKOSI Cha Yanga SC vs Ruvu Shooting FC October 03 2022 NBC Premier League appeared first on Nijuze Mpya.
Post a Comment