KIKOSI Cha Simba SC vs De Agosto October 16 2022 | CAF Champions League

KIKOSI Cha Simba SC vs De Agosto October 16 2022 | CAF Champions League

KIKOSI Cha Simba SC vs De Agosto October 16 2022 | CAF Champions League

Kikosi Cha Simba vs De Agosto Leo, Simba vs De Agosto CAF Champions League 2022, Kikosi Cha Simba vs De Agosto Leo Jumapili, Kikosi Cha Simba vs De Agosto October 16 2022, Kikosi kinachoanza Simba vs De Agosto CAF Champions League, Kikosi kitakachoanza Simba SC dhidi De Agosto Leo Jumapili, Kikosi cha Simba vs De Agosto October 16 2022, Lineup De Agosto vs Simba Leo tarehe 16.10.2022, Muda wa mechi Simba SC vs De Agosto October 16, De Agosto vs Simba SC October 16 2022, Lineps Simba vs De Agosto, Muda wa Mchezo Simba SC vs De Agosto October 16, Simba SC vs Clube Desportivo de Agosto 16 October 2022

KIKOSI Cha Simba SC vs De Agosto October 16 2022 | CAF Champions LeagueKlabu ya Simba Leo saa 10 jioni itashuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Premiero De Agosto katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Akizungumzia mchezo huo, Kocha Mkuu Juma Mgunda, amesema maandalizi yamekamilika kwa asilimia 100 na wachezaji wapo kwenye hali nzuri na morali ipo juu tayari kuhakikisha wanapeperusha vema bendera ya taifa.

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA SC VS DE AGOSTO OCTOBER 16 2022

Mgunda ameongeza kuwa tunakutana na timu ambayo tumeiona na tunaijua hivyo tumejiandaa kuhakikisha tunatumia vizuri mapungufu yao kupata ushindi nyumbani kuwapa furaha mashabiki wetu.

“Naweza kusema maandalizi yamekamilika kwa asilimia 100, wachezaji wote wapo kwenye hali nzuri kuhakikisha wanatetea bendera ya taifa na kuwapa furaha Wanasimba,” amesema Mgunda.

FUATILIA Hapa Matokeo ya Simba SC vs De Agosto October 16 2022 | CAF Champions League

Kiungo mkabaji Mzamiru Yassin naye amesema kuwa Wachezaji wote wanajua umuhimu wa mchezo huo pamoja na malengo ya klabu kwenye michuano hiyo hivyo watahakikisha wanafanikisha.

Mzamiru amesema De Agosto sio timu nyepesi kama wengi wanavyodhani kwakuwa tumewafunga kwao na haitakuwa mechi rahisi kwetu lakini tumejipanga kuhakikisha tunashinda.

“Malengo yetu kama klabu kwanza nikufuzu hatua ya makundi, ni kweli tumepata ushindi mzuri ugenini lakini tunajua mchezo utakuwa mgumu lakini tumejipanga.

“Tumepata maandalizi mazuri kutoka kwa walimu wetu na sisi wachezaji tupo tayari kuhakikisha tunafanya tunaloweza kuwapa furaha Wanasimba,” amesema Mzamiru.

Matokeo ya Simba vs De Agosto Leo, Simba vs De Agosto CAF Champions League 2022, Kikosi Cha Simba vs De Agosto Leo Jumapili, Matokeo Simba vs De Agosto October 16 2022, Matokeo Simba vs De Agosto CAF Champions League, Matokeo ya Simba SC dhidi De Agosto Leo, Kikosi cha Simba vs De Agosto October 16 2022, Muda wa mechi Simba vs De Agosto, Muda wa Mchezo Simba vs De Agosto, Matokeo De Agosto vs Simba Leo tarehe 16.10.2022, De Agosto vs Simba SC October 16 2022, Matokeo Simba vs De Agosto, Simba SC vs Clube Desportivo de Agosto 16 October 2022

The post KIKOSI Cha Simba SC vs De Agosto October 16 2022 | CAF Champions League appeared first on Nijuze Mpya.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post