SIMBA yamtambulisha Kocha Mkuu wa muda
Juma Mgunda Kocha Mpya Simba SC, Juma Mgunda Simba SC, Juma Mgunda Coastal Union FC, Kocha mpaya Simba, Juma Mgunda Coastal Union FC, Juma Mgunda Simba Sports Club, Juma Mgunda Tanzania.
KLABU ya Simba SC imemtangaza Juma Mgunda kuwa Kocha Mkuu wa muda wa Klabu hiyo yenye makazi yake mtaa wa Msimbazi, Kariakoo Jijini Dar es Salaam.
Kocha Mgunda ataongozana na kikosi hicho katika safari ya Leo kuelekea Malawi kwaajili ya kushiriki Mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nyasa Big Bullets ya nchini humo.
Aidha Mgunda atasaidiana na Kocha msaidizi Selemani Matola katika mechi zote ambazo Simba itashiriki kwenye kipindi hiki ambacho klabu inaendelea kutafuta Kocha Mkuu.
Uongozi wa klabu ya Simba umesema kuwa unaushukuru Uongozi wa Klabu ya Coastal Union kwa kumruhusu Kocha wao Juma Mgunda kujiunga na Klabu hiyo kwenye kipindi hiki cha mpito.
Kocha Juma Mgunda ni Kocha mwenye Leseni A ya CAF ambae anakidhi vigezo ya kuiongoza timu kwenye mashindano ya yanayosimamiwa na Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF).
Kikosi Cha Simba kinataraji kuondoka nchini Leo Alhamisi ya September 08,2022 kuelekea Malawi kwaajili ya mchezo dhidi ya Nyasa Big Bullets, Mchezo utakaopigwa September 10,2022 kuanzia majira ya saa 10:00 Jioni.
Juma Mgunda Kocha Mpya Simba SC, Juma Mgunda Simba SC, Juma Mgunda Coastal Union FC, Kocha mpaya Simba, Juma Mgunda Coastal Union FC, Juma Mgunda Simba Sports Club, Juma Mgunda Tanzania.
- RATIBA Mechi Za Simba SC NBC Premier League 2022/2023
- KIKOSI Cha Yanga SC msimu wa 2022/2023
- RATIBA kamili Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/2023
- RATIBA Mechi za Yanga SC NBC Premier League 2022/2023
- KIKOSI Cha Simba SC msimu wa 2022/2023
- MSIMAMO NBC Premier League 2022/2023 Table Standings
- WAFUNGAJI Bora Ligi Kuu Tanzania Bara (Top Scorers NBC Premier League 2022/2023)
- MATOKEO raundi ya pili NBC Premier League 2022/2023
- RATIBA Raundi ya Tatu NBC Premier League 2022/2023
- UNIVERSITY Selection Waliochaguliwa Vyuo Vikuu 2022/2023
- WALIOPATA Mkopo 2022-2023/HESLB Loan Allocation Status
- TAMISEMI: Walioitwa Kazini Ajira za Afya 2022
- RATIBA ya Mechi za Yanga mwezi September 2022
- RATIBA ya Mechi za Simba SC mwezi September 2022
- KISINDA apigwa Stop Yanga | TFF yatoa Ufafanua Usajili Wachezaji wa Kigeni
- EWURA bei mpya za Mafuta kuanzia September 07 2022
- MATOKEO Yanga SC vs Azam FC September 06 2022 (NBC Premier League 2022/2023)
- MATOKEO Simba vs KMC FC September 07 2022 | NBC Premier League 2022/2023)
The post SIMBA yamtambulisha Kocha Mkuu wa muda appeared first on Nijuze Mpya -| Pata Habari zote za Michezo kitaifa na Kimataifa, Tetesi na Usajili, Magazeti ya Michezo, Ratiba na Matokeo, Mahusiano Pamoja na Nafasi za Kazi.
Post a Comment