YANGA kucheza Mechi mbili za Kirafiki kujiandaa na CAF na NBC Premier League

YANGA kucheza Mechi mbili za Kirafiki kujiandaa na CAF na NBC Premier League

YANGA kucheza Mechi mbili za Kirafiki kujiandaa na CAF na NBC Premier League

AS Arta Solar 7 ya Djibouti, AS Arta Solar 7 vs Yanga SC, AS Arta Solar 7 vs Young Africans SC, AS Arta Solar 7 vs Dar Young Africans, Yanga SC vs AS Arta Solar 7, Yanga vs AS Arta Solar 7, Young Africans SC vs AS Arta Solar 7, Dar Young Africans SC vs AS Arta Solar 7, Mechi ya Kirafiki Yanga vs AS Arta Solar 7.

YANGA kucheza Mechi mbili za Kirafiki kujiandaa na CAF na NBC Premier LeagueKATIKA kuhakikisha Kikosi chao kinakuwa imara kuelekea michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika inayotarajia kuanza rasmi kati ya September 9-11, mwaka huu, kikosi cha Yanga kinatarajiwa kucheza mechi mbili za kirafiki kabla ya michuano hiyo kuanza.

Moja kati ya timu ambayo Yanga itacheza nayo wakati huu Ligi Kuu Bara ikiwa imesimama kupisha Kalenda ya FIFA, itakuwa dhidi ya AS Arta Solar 7 ya Djibouti, ambayo kikosi chake kinaundwa na baadhi ya nyota wakubwa waliocheza klabu kubwa za Ulaya, wakiwamo Kiungo Mcameroon Alexander Song na winga Solomon Kalou raia wa Ivory Coast.

AS Arta Solar 7, ambao ni Mabingwa wa Ligi Kuu Djibouti, wameweka kambi Jijini Dar es Salaam kujiandaa na Ligi ya Mabingwa Afrika na katika hatua ya awali ya michuano hiyo wataanzia nyumbani dhidi ya Al-Merrikh ya Sudan.

YANGA kucheza Mechi mbili za Kirafiki kujiandaa na CAF na NBC Premier LeagueKocha Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa watakuwa na programu ya mazoezi na mechi za kirafiki kwa kipindi ambacho Ligi imesimama kupisha Taifa Stars kucheza mechi za kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), dhidi ya Uganda.

“Tunarudi katika mazoezi ya Gym ili kujiweka sawa kwa kuwa tunaelekea katika michezo migumu, tulipumzika siku mbili na leo tunarudi kazini, alisema Kaze.

AS Arta Solar 7 ya Djibouti, AS Arta Solar 7 vs Yanga SC, AS Arta Solar 7 vs Young Africans SC, AS Arta Solar 7 vs Dar Young Africans, Yanga SC vs AS Arta Solar 7, Yanga vs AS Arta Solar 7, Young Africans SC vs AS Arta Solar 7, Dar Young Africans SC vs AS Arta Solar 7, Mechi ya Kirafiki Yanga vs AS Arta Solar 7.

The post YANGA kucheza Mechi mbili za Kirafiki kujiandaa na CAF na NBC Premier League appeared first on Nijuze Mpya -| Pata Habari zote za Michezo kitaifa na Kimataifa, Tetesi na Usajili, Magazeti ya Michezo, Ratiba na Matokeo, Mahusiano Pamoja na Nafasi za Kazi.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post