SIMBA kuzifuata Asante Kotoko na Al Hilal kesho

SIMBA kuzifuata Asante Kotoko na Al Hilal kesho

SIMBA kuzifuata Asante Kotoko na Al Hilal kesho.

Simba kucheza Mechi tatu za Kirafiki, Simba kucheza mechi 3 za Kirafiki, Simba kucheza Michezo ya Kirafiki, Simba kucheza Michezo 3 ya Kirafiki, Simba vs Al Hilal ya Sudan, Simba SC vs Al Hilal, Al Hilal vs Simba SC, Al Hilal vs Simba, Al Hilal Simba Sports Club, Simba vs Asante Kotoko ya Ghana, Simba vs Asante Kotoko, Simba SC vs Asante Kotoko Simba Sports Club vs Asante Kotoko, Asante Kotoko vs Simba SC, Asante Kotoko vs Simba, Simba SC vs AS Arta Solar 7 ya Djibouti, Simba vs AS Arta Solar 7, Simba Sports Club vs AS Arta Solar 7, AS Arta Solar 7 vs Simba, AS Arta Solar 7 vs Simba SC, AS Arta Solar 7 vs Simba Sports Club.

SIMBA kuzifuata Asante Kotoko na Al Hilal keshoKIKOSI Cha Simba SC, kinatatajiwa kuondoka nchini kesho Ijumaa saa 10 Alfajiri kuelekea Khartoum nchini Sudan tayari kwa mechi mbili za kirafiki za kimataifa baada ya kupata mwaliko maalumu kutoka kwa Al Hilal.

Kikosi hicho kitaondoka kikiwa na msafara wa watu 30 wachezaji wakiwa 20, benchi la ufundi na Viongozi wachache.

Meneja wa Timu Patrick Rweyemamu, amesema kuwa kikosi kinatarajia kufika Jijini Khartoum kesho saa tano asubuhi na jioni kitafanya mazoezi ya utimamu wa mwili.

“Kama tulivyotangaza awali tumepokea mwaliko kutoka kwa wenzetu Al Hilal na kesho saa 10 alfajiri tutaanza safari ya kuelekea Sudan tukiwa na msafara wa watu 30 na tutafika jijini Khartoum kesho.

SIMBA kuzifuata Asante Kotoko na Al Hilal kesho

“Baada ya kikosi kuwasili Sudan wachezaji watapumzika kwa saa chache kabla ya kufanya mazoezi ya utimamu wa mwili na Jumamosi tutafanya mazoezi ya mwisho kabla ya mchezo,” amesema Rweyemamu.

Simba itacheza mchezo wa kwanza dhidi ya Asante Kotoko kutoka Ghana, August 28 na siku tatu baadaye itacheza na wenyeji Al Hilal.

Baada ya kukamilika kwa Mashindano hayo Kikosi Cha Simba kitarejea nchini na September 03,2022 Kitacheza Mechi nyingine ya Kirafiki ya kimataifa dhidi ya Mabingwa wa Djibouti, AS Arta Solar 7 ambao wapo kambini Jijini Dar es Salaam wakiwa na nyota kama Thadeo Lwanga, Alexander Song na Solomon Kalou.Ratiba ya Mechi 3 za Kirafiki za Simba SC 2022

Simba kucheza Mechi tatu za Kirafiki, Simba kucheza mechi 3 za Kirafiki, Simba kucheza Michezo ya Kirafiki, Simba kucheza Michezo 3 ya Kirafiki, Simba vs Al Hilal ya Sudan, Simba SC vs Al Hilal, Al Hilal vs Simba SC, Al Hilal vs Simba, Al Hilal Simba Sports Club, Simba vs Asante Kotoko ya Ghana, Simba vs Asante Kotoko, Simba SC vs Asante Kotoko Simba Sports Club vs Asante Kotoko, Asante Kotoko vs Simba SC, Asante Kotoko vs Simba, Simba SC vs AS Arta Solar 7 ya Djibouti, Simba vs AS Arta Solar 7, Simba Sports Club vs AS Arta Solar 7, AS Arta Solar 7 vs Simba, AS Arta Solar 7 vs Simba SC, AS Arta Solar 7 vs Simba Sports Club.

The post SIMBA kuzifuata Asante Kotoko na Al Hilal kesho appeared first on Nijuze Mpya -| Pata Habari zote za Michezo kitaifa na Kimataifa, Tetesi na Usajili, Magazeti ya Michezo, Ratiba na Matokeo, Mahusiano Pamoja na Nafasi za Kazi.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post