KANUNI mpya za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023)

KANUNI mpya za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023)

KANUNI mpya za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023)

Kanuni mpya za Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023, Kanuni za Ligi Kuu 2022/2023, Kanuni za Ligi 2022/2023, Kanuni za NBC Premier League 2022/2023, Kanuni za Ligi, Kanuni za NBC.

The club is one of the richest in East Africa, with a total budget of Sh 6.1 Billion (equivalent to $5.3 million) unveiled for the 2019/2020 season.[2]

The Tanzania Football Federation (TFF), previously Football Association of Tanzania (FAT), is the governing body of football in Tanzania and oversees the Tanzania national football teams. It was founded in 1930 and is affiliated to FIFA since 1964.

The Federation was founded in 1930 as Tanganyika Football Association (TFA). It was later renamed as Football Association of Tanzania (FAT) in 1971 after major amendments in its Constitution.

FAT existed until 2004 when the new name TFF came into force after the body’s General Assembly held on 27th December of the same year.

The Current TFF Constitution came into force 15th January 2006 following the General Assembly held in Dar es Salaam on 14th and 15th January 2006.

Currently, Wallace Karia is the President of Tanzania Football Federation (TFF), succeeding to Jamal Malinzi in August 2017.

TFF regions and blocks are becoming more empowered under his leadership as he believes they are the drivers of development agenda.

KANUNI mpya za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023)BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) inatoa taarifa kuwa Kikao cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kilichoketi August 09, 2022 Jijini Arusha, kimepitisha Maboresho ya Kanuni za Ligi kuelekea msimu wa 2022/2023.

Zifuatazo ni kanuni za Ligi Kuu mpya na zilizofanyiwa Maboresho na kujumuishwa kwenye kanuni za mwaka 2022 kwaajili ya msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023).

👉Kanuni ya 9 (Kuhusu Uwanja) 9:8
Baada ya Kamati ya Leseni za Klabu kuufungulia Uwanja ambao ufungiwa hapo awali, houtaruhusiwa kupangiwa mchezo na TFF/TPLB mpake baada ya kipindi cha siku 14 tangu kufunguliwa.

👉Kanuni ya 8 (Kuhusu Mshindi) 8:16
Timu inayoshiriki Mashindano ya kimataifa inawajibika kufuata na kuheshimu ratiba ya michezo ya Ligi Kuu kama ilivyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu.

👉Kanuni ya 11 (Kuhusu Vikombe na Tuzo) 11:11 Sherehe za tuzo zitafanyika ndani ya muda usiozidi siku tatu (3) baada ya kumalizika kwa mchezo wa mwisho wa Kombe la Shirikisho.

👉Kanuni ya 16 (Kuhusu Udhamini) 16:7
Klabu za Ligi Kuu zinawajibika/ zinatakiwa kuwa na mahamini wadhamini binafsi ili kukidhi gharama za uendeshaji wa timu na maendeleo ya klabu kwa ujumla.

👉Kanuni ya 17 (kuhusu Taratibu za mchezo) 17:22.01
Timu mwenyeji kwa kushirikiana na Msimamizi wa Kituo Ilina jukumu la kuandaa ukumbi kwaajili ya Kikao Cha Maandalizi ya Michezo (MCM) wenye sifa na vigezo kama ilivyoelezwa na na Bodi ya Ligi/TFF

👉Kanuni ya 19 (Kuhusu Ngao ya Jamii)19:1
Kutakuwa na Shindano maalum la Ufunguzi wa Ligi (Ngao ya Jamii) na litashirikisha timu zilizoshika nafasi tatu (3) za juu kwenye Msimamo wa Ligi na timu Bingwa wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup)

Endapo Bingwa wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) atakuwa miongoni mwa mshindi wa nafasi tatu (3) za juu kwenye Msimamo wa Ligi Kuu, timu inauoshika nafasi ya nne Katika Msimamo wa Ligi itashiriki Shindano hilo.

👉Kanuni ya 20 (Huduma ya Kwanza na Magonjwa ya Mlipuko) 20:4
Ikitokea Mchezo umeshindwa kuchezwa kutokana na sababu ya kutotimiza idadi ya Wachezaji wanaohitajika kikanuni kutokana na sababu za kiafya zilizosababishwa na Magonjwa ya Mlipuko (kama Covid-19 na Mengine), timu husika itakuwa imepoteza mchezo na timu shindani itapewa ushindi wa pointi tatu (3) na mabao matatu (3).

👉Kanuni ya 31 (Kuhusu kutofika Uwanjani) 31:1 (1.6)
Timu itakayokosa kufika Uwanja na kusababisha mchezo kutochezwa baada ya kushiriki kushiriki Kikao cha Maandalizi ya Mchezo, itatozwa faini ya Shilingi Milioni 5 (5,00,000) kulipia fidia ya uharibifu wowote unaoweza kujitokeza, kupokwa alama 15 (kumi na tano), katika Msimamo wa Ligi na Viongozi waliosababisha jambo hilo watachukuliwa hatua zaudi za kinidhamu.

👉Kanuni ya 42 (Kuhusu Uthibiti kwa Waamuzi) 42.1
Mwamuzi yeyote atakayethibitika au kubainika kwa lolote miongoni mwa yafuatayo Katika Kanuni hii atapata adhabu ya kuonywa, kuondolewa Katika ratiba ya Waamuzi kati ya Mizunguko mitatu (3) mpaka mitano (5), kufungiwa Kati ya miezi mitatu (3) mpaka sita (6).

Kwa makosa yanayojirudia na kwa makosa ya rushwa atafungiwa kwa miaka mitatu (3) au/ na kushushwa katika orodha ya Waamuzi au) na kuondolewa au kufutwa kabisa Katika orodha ya Waamuzi wanaotambuliwa na TFF na kunyangwa leseni ya uamuzi.

👉Kanuni ya 47 (Kuhusu Uthibiti wa Klabu). 47:32
Klabu ya Ligi Kuu inatakiwa kuajiri watendaji kwa nafasi Mtendaji Mkuu, Mkurugenzi wa Fedha na Utawala, Mkurugenzi wa Ufundi, Afisa Habari, Afisa wa Usalama, Meneja Mkuu wa timu, Daktari na Watendaji wengine wenye sifa na vigezo kama ilivyoelezwa na Kanuni za Leseni za Klabu.

👉Kanuni ya 62 (Kuhusu Wachezaji wa Kigeni) 62:1
Klabu ya Ligi Kuu inaruhusiwa kusajili Wachezaji kumi na wawili (12) wa Kigeni Kutoka sehemu yoyote Duniani (Mazingatio ya Kanuni ya 62:4 ya Kanuni hizi), na inaweza kuwachezesha/kuwatumia (kuwemo kwenye orodha ya Wachezaji wa mchezo kwa siku husika) Wachezaji wake wote kumi na wawili (12) wa Kigeni Katika Mchezo mmoja wa Ligi Kuu au Kombe la Shirikisho.

The Tanzania Football Federation (TFF) (Swahili: Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania), previously Football Association of Tanzania, is the governing body of football in Tanzania. It oversees operations of the Tanzanian football league system, the Tanzania national football team, and the Tanzania women’s national team. It was founded in 1945 and has been affiliated with FIFA since 1964. Wallace Karia is the current President of the Tanzania Football Federation as of 2017

Academy
In January 2008 the Tanzania Football Federation in partnership with Peter Johnson created the Tanzania Soccer Academy (TSA), a national academy to develop football and provide full education scholarships to players.[4][5][6]

National stadium
The National Main Stadium is a multi-purpose stadium in Dar es Salaam, Tanzania. It opened in 2007 and was built adjacent to Uhuru Stadium, the former national stadium. It hosts major football matches such as the Tanzanian Premier League and home matches of the Tanzania national football team.

Presidents

  • Mr. Ali Chambuso 1967-1974
  • Hon. Said El Maamry 1974-1987
  • Mr. Mohamed Mussa 1987-1992
  • Alhaji. Muhidn Ndolanga 1992-2004
  • Mr. Leodgar Tenga 2004-2013
  • Mr.Jamal E Malinzi 2013-2017
  • Mr. Wallace Karia 2017–present

Kanuni mpya za Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023, Kanuni za Ligi Kuu 2022/2023, Kanuni za Ligi 2022/2023, Kanuni za NBC Premier League 2022/2023, Kanuni za Ligi, Kanuni za NBC.

The post KANUNI mpya za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023) appeared first on Nijuze Mpya -| Pata Habari zote za Michezo kitaifa na Kimataifa, Tetesi na Usajili, Magazeti ya Michezo, Ratiba na Matokeo, Mahusiano Pamoja na Nafasi za Kazi.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post