Baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu wa kuendelea kuwatumikia Majogoo mpaka 2025,Mo Salah atakuwa analipwa mshahara wa pauni 350,000 kwa wiki.
Mshahara huo unaokadiriwa kuwa sawa na TSH milioni 982 kwa wiki utamfanya Mmisri huyo kuwa mchezaji wa Liverpool anayelipwa zaidi.
Post a Comment