ZUCHU na DIAMOND kunani! Ukipitia ukurasa wa Instagram wa Zuchu utagundua kuna utofauti kidogo kwani ameondoa sehemu kubwa ya picha zenye matukio yote aliyokua na boss wake Diamond Platnumz.
Sababu yakufanya hivyo bado haijajulikana ila huenda ikawa ni sehemu ya promotion ya Zuchu katika ukurasa wake huo wenye followers zaidi ya Milioni 4.6 kufuatia ujio wa kazi zake mbili mpya anazotarajia kuachia kesho Ijumaa.
Una mtazamo gani?
Post a Comment