Mume aoa wake zake wawili kwa siku moja



Kijana wa miaka 22 Mustapha Ado ame-make headlines kwenye baadhi ya vyombo vya habari nchini Nigeria baada ya kufunga ndoa na wake zake wawili kwa siku moja.
Picha za Mustapha akiwa na wake zake wawili wakiwa wanafunga ndoa zimeweza kwenda viral mitandaoni kwa watu kushangazwa na tukio hilo la aina yake.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post