Msanii Rayvanny Bado YUPO Kwenye Lebo ya WCB, Ushahidi Huu Hapa


Mwishoni mwa mwezi April kulizuka story nyingi baada ya msanii Rayvanny kufuta neno “Signed Under WCB Wasafi” kwenye Biography yake ya Instagram, wengi wakiamini msanii huyo ameisha jitoa kwenye Label hiyo kubwa ya muziki Afrika Mashariki.


Achana na video na picha za pamoja za Rayvanny na Diamond wakiwa Ethiopia, baada ya Rayvanny kutoa video yake ya I miss You kwenye Channel yake ya YouTube,katika sehemu ya maelezo ya video hiyo (descriptions), kuna details ambazo bado zinakupa uhakika kuwa msanii Rayvanny bado yupo WCB. Kwanza email yake ukitaka kumbook kwaajili ya show, ni Rayvanny@ wcbwasafi.com, lakini pia Copyright ya I miss You, ipo chini ya WCB.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post