Joyce Kiria "Ukija Kwangu Mwanaume Uwe Umejipanga Siwezi Kulea Mwanaume, Nywele zangu tu Milioni 5"


"Siwezi kuanzisha mahusiano na mwanammme masikini, siwezi kutunza mwanamme,ukija kwangu uwe umejipanga, nakupa invoice kuanzia nyumba ninayoishi, nywele zangu ninasuka kwa 5Milioni,sio uje kwangu na suruali ako"Joyce Kiria

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post