Zari Atoa Kichambo Kwa Watanzania "Nikionekana na Mama Dangote Mnafaidika Nini?"




Mwanadada mweye ushawishi katika mitandao mbalimbali ya kijamii @zarithebosslady ameibuka na kuwajia juu wanaosema hajaenda kuonana na familia ya mwanamuziki Diamond Platnumz alivyotua Tanzania wiko iliyopita.

Kupitia snapchat story yake, Zari amewasihi watu kufanya mambo yao na kuacha kufatilia yasiyowahusu
“Zari ajaonana na Mama Dangote kwanini!?,Zari ajaonana na ile familia kwanini!?, Wewe unafaidika nini mimi nikipiga picha na Mama Dangote!?”Na ningeonana nao mgesema Zari Anajipendekeza Kwa Diamond " - @zarithebosslady




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post