Wauguzi katika Kituo cha Afya Tunduma wanatuhumiwa kusababisha kifo cha Mtoto Mchanga kwa mazingira ya uzembe
Mama wa Mtoto amesema “Nilipopata uchungu sikupatiwa huduma nzuri. Wakaja Wauguzi Wanafunzi ambao hawakunihudumia vizuri licha ya kuwaita mapema. Mtoto alizaliwa salama, wakamchukua na kumrejesha asubuhi akiwa na jeraha kichwani na analia sana”
Mkuu wa Wilaya ya Momba, Fakh Lulandala ameagizwa kuunda Timu ya Kuchunguza tukio hilo kwa kuwa siyo mara ya kwanza kupokea malalamiko ya Wananchi kuhusu hospitali hiyo
Post a Comment