Simba Yapigwa Faini Tsh. Milioni 23 na CAF Kwa Kufanya ‘Tambiko Hatarishi’ Uwanjani-Michezoni leo

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeipiga faini ya Dola za Marekani 10,000 (zaidi ya Tsh. Milioni 23) Klabu hiyo baada ya kupatikana na hatia ya kufanya ‘tambiko hatarishi’ katika mchezo dhidi ya Orlando Pirates.

 

 

Kabla ya mchezo huo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho, Wachezaji wa Simba walionekana kukusanyika katikati ya uwanja na baadaye moshi kutokea katikati ya kundi hilo

 

 

Taarifa kutoka CAF imesema Maafisa wa mchezo walionesha katika ripoti zao kwamba “Wachezaji wa Simba waliwasha moto katikati ya uwanja wakati wakijifanya kuomba kabla ya mechi. Ilitubidi kumwaga maji ili kuuzima moto”

MO AMWAGA MAMILIONI SIMBA, VYUMA VYAANZA KUSHUSHWA, HERSI AFICHUA USAJILI YANGA | KROSI …

The post Simba Yapigwa Faini Tsh. Milioni 23 na CAF Kwa Kufanya ‘Tambiko Hatarishi’ Uwanjani appeared first on Global Publishers.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post