Michezo, Matokeo, ajira, Livescore,msimamo wa ligi
Pichani ni Kendrick Lamar akiwa nchini Ghana, Avaa Shati Moja Wiki Nzima na Kunywa Maji ya Kondoro
bymafekeche-
0
Pichani ni Kendrick Lamar akiwa nchini Ghana, unaambiwa amevaa hiyo nguo kwa takribani wiki nzima, lakini pia ameonekana dukani kwa Mangi akiwa anakunywa maji ya kwenye mfuko maarufu kama maji ya ‘Kandoro’
Post a Comment