Nyumba inauzwa Zinga Bagamoyo


Nyumba inauzwa Zinga Bagamoyo.

Nyumba iko Zinga mtaa wa kwa Mtolo na Ina kiwanja cha mita 20/30.
Nyumba hii iko umbali wa mita 500 tu kutoka main road, lami.
Nyumba hii Ina vyumba 3 vya kulala, kimoja master, public toilet, jiko, sebure na dining.

Nyumba hii inauzwa sh za kitanzania 35 milion (negotiable)

Kwa mawasliano zaidi piga simu 0714604974




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post