Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Desderia Mbwela (56) Mkazi wa Kijiji cha Lumuli, Manispaa ya Iringa anashikiliwa kwa tuhuma za kulazimisha kufanya mapenzi na mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 8
Kamanda wa Polisi Iringa, Allan Bukumbi amesema "Mwanamke huyo alimshika mtoto huyo anayesoma Darasa la Tatu kwa nguvu kisha kumvutia kichakani na kumlazimisha afanya naye mapenzi. Desderia tumemshikilia kwa uchunguzi zaidi"
-
Post a Comment