My brother @professorjaytz GET WELL SOON nabakia kama mdau na mshauri na ikiwa sijui sana maswala ya kuweka majina ya Watu Maarufu kwenye Mitaa ila kwa heshima ya Prof Jay nahisi anaweza kuipata heshima hii, kwenye zoezi linaloendelea la Anuani za Makazi, Kaka yetu, Mhe Waziri @napennauye kama itapendeza na protocol zikiruhusi basi our brother Professor Jay afikiriwe kwenye hili. Kama unaunga mkono Comment #MtaaWaProfJay
Nitajie Ngoma zako 5 kali za Prof Jay. Wiki hii nitatoa Special Playlist ya Nyimbo 50 au 100 za Professor Jay. Nitakwambia inapatikana wapi (Faida yote ya Playlist kimapato inaenda kwake direct kwa wasimamizi wa kazi zake) #nyotawamchezo
Post a Comment