Msanii Foby Ashindwa Kujizuia Penzi Kwa Zuchu..Adai Aliumia Sana Aliposikia Zuchu Anaolewa



Msanii wa Bongo Fleva @fobyofficial ameandika ujumbe kwenda kwa msanii kutoka katika rekodi lebo ya Wcb @officialzuchu

Kupitia ukurasa wake wa kijamii wa instagram Foby ameandika ....✍️

"Hakuna kipindi nimeishi kwa ugumu kama kile kipindi wanasema anataka kuolewa, Roho yangu ilikuwa kama ya kuazima, mi niliamua akum_Unfollow kwasababu nikiona picha yake tu mshtuko naoupata utasema nipo nchi ya Ukrain, "

"Kwani Hakuna wizara Yoyote inayoweza kupatanisha watu nchini kwetu? pls Kuwe na wizara ya mahusiano na mapenzi haki vile kuna watu tunaumia na tutakuja kufa tumesimama
"Nyie mtoto huyu atakuja kuniua huyu🤔😢"




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post