Msanii @diamondplatnumz amezi-verify story za uwezekano wa yeye kununua Ndege binafsi ‘Private Jet’ mwaka huu, story ambazo zilianza kuzungumzwa na baadhi ya watu wake wa karibu siku za hivi karibuni.
Kupitia Insta Post ya Birthday wishes kwa Manager wake Salam SK, @diamondplatnumz ameweka wazi kuwa kununua ndege binafsi ni mmoja kati ya mipango yao ya mafanikio mwaka huu!
Post a Comment