Moo Dewji Afunguka "Hongereni Yanga, Bodi ya Simba inabidi ifanye Maamuzi Magumu"




Kupitia Instagram yake @moodewji ameeleza namna @simbasctanzania ilivyopitia msimu mgumu kwa takribani misimu mitano na kuitaka bodi kufanya maamuzi magumu.

Ameandika kuwa: “ Hongereni watani! This has been the worst season for Simba in last 5 years. The board needs to make tough decisions on the way forward. We need to overhaul our team and strategy and go back to the drawing board. We lacked motivation, passion and hunger to win trophies this year.”


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post