Mbwana Makata na David Naftar Wachutama na Kuiomba Radhi TFF



KOCHA Mkuu na Meneja wa Klabu ya Mbeya Kwanza, Mbwana Makata na David Naftar wameliomba radhi Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi kwa tukio walilolifanya na kusababisha kufungiwa kwa miaka mitano kutojihusisha na soka.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post