MAUYA AONGEZA MIAKA MIWILI YANGA SC-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

KIUNGO Zawadi Peter Mauya amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuchezea klabu ya Yanga hadi msimu wa 2024.
Zawadi alijiunga na Yanga mwaka 2020 Julai akitokea Kagera Sugar na baada ya kazi nzuri katika misimu yake miwili ya awali ikiwemo kufunga bao pekee la ushindi katika mechi ya Ligi Kuu dhidi ya watani, Simba Julai 3, mwaka jana amepewa nafasi nyingine Jangwani.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post