Pichani Ni "Princes Qujar", Huyu Alikuwa Ni Mtoto Wa Mfalme Wa "PERSIAN" Miaka Ya 1900s Princes Qujar Aliwapa Tabu Sana Wanaume KwaSababu Alionekana Kuwa Ndiye Mwanamke Mrembo Zaidi, Ambapo Mamia Ya Wanaume Waliomfuata Aliwakataa Na Zaidi Ya Wanaume "13" Walijiua Kwa Kukosa Penzi Lake Baada Ya Kukataliwa
Kwa hapa Bongo labda tunaweza mfananisha na Wema Sepetu enzi zake bado yupo moto chini
Post a Comment