In a Preview Of The Upcoming Episodes Of Hulu's "The Kardashians" (Hopefully There will be just one more wedding, Fourth time's A Charm" - Kim)
___________________
#KimKardashian Atamani Kufunga Ndoa Kwa Mara Ya Nne (4), Akifunguka Kwenye Episode Ya The Kardashians, #Kim Amesema "Natumai Kutakuwa Na Ndoa Nyingine Kwangu, Mara Ya Nne (4)"
Ndoa Alizofunga Kim Kardashian
1: Damon Thomas + Kim = 2000 Hadi 2004
2:Kris Humpries + Kim = 2011 hadi 2013
3:Kanye West + Kim = 2014 Hadi 2022
4: ⁉️
Cc.✍:@officialtriggah
WasafiDigital
Post a Comment