Wengi wameoneka kutopendezwa na comments za Muigizaji na Miss Tanzania 2006, Le Madame Wema Sepetu kwenye post ya Esma Platnumz kuhusu kutompenda mchekeshaji @jackie8_ ambaye amevaa uhusika kama Spiderman. Si kuwa Wema hampendi jamaa huyo binafsi bali uhusika wa uchekeshaji wake unafanya Wema hasimpende akidai anapotosha watoto. Na hilo unaweza kuliona kupitia replies za watu kwenye Comments hizo.
Uchekeshaji wake umejaa ukakasi kwa wengi kutokana na umwagaji mauno hadharani na watu wakihisi uwenda si rijali, kwa upande wa Jackie anashangaa kuona Wakikatika wasanii kama Joti ni sawa ila akikatika yeye basi si riziki,lakini anacho angalia ni kuendelea kupiga kazi.
Sajomedia
Post a Comment