Harmonize Aonesha Plate Namba Yenye JINA la Kajala Aliyolipia Milioni Tano



Msanii na Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Harmonize kupitia insta stori yake ameposti picha ya Number ya Gari (Plate Number) iliyoandikwa Jina la Aliyekuwa Mpenzi wake Kajala na kuonyesha kuwa ameilipia Tsh Million 5.


Hata hivyo Harmonize ameeleza kuwa kufanya hivyo sio kiki bali ni juhudi za kumrejesha Mpenzi wake.




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post