Haji Manara Ameandika haya Kupitia Instagram:
"Sio mbaya mtajipanga Kwa Miaka ijayo mkipata akili na kupunguza uchawi.
Halaf Wananchi mbona mna siri sana, kumbe katika mechi sita zilizopita za Makolo, wameshinda mechi moja tu na sare tano? Halafu hamsemi😳
Makolo 0 Polisi 0
Makolo 0 Yanga 0
Makolo 2 Namungo 2
Makolo 4 Ruvu 0
Makolo 1 Azam 1
Makolo 1 Geita 1
Halaf na nyie wa Michongo mmeuchuna kimyaaaaaa,Yanga tulitoa Sare Tatu tu, kelele kibao na mkatuandikia makala za kila aina.
Kwanza mlinielewa niliposema mwanzo wa msimu lile neno Return of the Champions?
Na ole wenu leo tukute Majivu CCM Kirumba.
Che Che Che
Wanayaona Macho yao
Pumzi ya Kitonsa
Post a Comment