Mashabiki wa Simba na Yanga wamiminika uwanja wa Benjamin Mkapa kushudia mechi Kali kati ya Simba na yanga katika mwendelezo wa ligi ya NBC.
Champion lilifika uwanjani hapo na kutoa zawadi Kwa wasomaji wa gazeti hilo pendwa la michezo nchini ambao walikutwa wakilisoma.
Kama ilivyo desturi ya gazeti la champion kushirikiana na wasomaji wake kwenye shughuli za kimichezo, timu ya gazeti ilifika uwanjani kuwapa zawadi kwa kuendelea kuwa wasomaji wetu.
The post Gazeti la Championi Latoa zawadi za Tiketi kwa Mashabikiwa Simba/Yanga appeared first on Global Publishers.
Post a Comment