EINTRACHT FRANKFURT WABEBA EUROPA LEAGUE KWA MATUTA -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WACHEZAJI wa Eintracht Frankfurt wakisherehekea na taji lao la Europa League baada ya kukabidhiwa jana kufuatia ushindi wa penalti 5-4 baada ya sare ya 1-1 ndani ya dakika 120 usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Ramón Sánchez Pizjuán Jijini Sevilla nchini Hispania.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post