Chris Mauki “Mwanaume akiomba space ujue kakuchoka"

 
“Mwanaume akiomba space ujue kakuchoka ila mwanamke akiomba space ujue anataka kujifikiria.
Space ni muda wa mtu mwenyewe kuwa peke yake akimaanisha kutaka kupumzika
Ukiona Mwanamke anaomba space mwanaume inabidi upambane kujua shida nini na utatue ila ukiona Mwanaume anaomba space hata kikao ujue tayari kashafanya maamuzi” @chrismauki_ Mwanasaikolojia



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post