Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPBL) imetangaza mabadiliko ya muda wa pambano la Ligi Kuu ya NBC namba 208 kati ya Dodoma Jiji na Yanga linalotarajiwa kuchezwa kesho jijini Dodoma, mchezo huo utachezwa saa 10:00 jioni badala ya saa 1:00 usiku kama ilivyokuwa awali
The post Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Imetangaza Mabadiliko ya Muda Pambano la Dodoma Jiji na Yanga appeared first on Global Publishers.
Post a Comment