Bilionea Mohammed Gulamabbas Dewji “Mo” kutokea hapa nchini ametunukiwa shahada ya Udaktari wa Heshima ya Uzamivu na Shule ya Biashara ya McDonough katika Chuo Kikuu cha Georgetown Jijini Washington Marekani.
Mo ametunukiwa Taji hilo la heshima siku ya jana (Mei, 20) na Rais wa Chuo hicho John DeGioia katika kutambua mchango wa Kampuni za MeTL katika kuleta maendeleo katika jamii nchini Tanzania.
Mo ameshawahi kusoma katika Chuo hicho na alihitimu mwaka 1998.
Toa neno la pongezi kwa Bilionea huyo
Post a Comment