Kutoka kwenye mtandao wa kijamii wa Msanii Baba Levo ameonyesha kuchoshwa na kuwa chawa wa msanii na mmiliki wa rekodi lebo ya Wcb, @diamondplatnumz.
@babalevo ameandika ...✍️
"TAFADHALI BOSS NIMECHOKA KUWA CHAWA...!!
NIBADILISHE CHEO BOSS WANGU👀"
Post a Comment