Jamani Natamani Kuolewa... Yaani nimetamani tu Harusi.... Na iwe Exquisite... The thought of me in a Wedding Dress, watu wamependeza... Food & Drinks na Good Music... Daaaaah... Trust me natamani Sana na Watu Wengi watanichangia Siwezi Kufanya harusi Bila kuchangisha watu mie Mwenyewe nimechangia Watu Wengi sana
Bibi Harusi nipo, Tatizo ni Bwana Harusi.... Bado hajajitokeza...
Post a Comment