Wadukuzi /wahalifu wa mtandaoni (hackersðŸŽ) usiku wa kuamkia leo walijaribu kudukua youtube channel ya mwanamuziki na CEO wa record label ya WcB Wasafi @diamondplatnumz ,kwa kubadisha jina na utambulisho wa picha/ profile picture wakitumia logo ya kampuni ya Tesla ya tajiri namba moja duniani #ElonMusk.
Hata hivyo Zoezi hilo halikufanikiwa kudumu kwa muda mrefu kwani account hiyo ilifanikiwa kurudi kwenye hali yake.
Cc✍️ @keviiiy.iam
Post a Comment