Vanessa Mdee Amedokeza Kuhusu Ujenzi Wa Nyumba Yake Huko Mjini Florida Nchini Marekani Ambayo Ameweka Wazi Kuwa Nyumba Hiyo Ni Kwa Ajili Ya Mapumziko
#VEE Ameshare Good News Hizo Katika IG Yake Ambapo Amepost Picha Kadhaa Na Kuandika......"New Crib Alert 📍 Orlando, Florida 🌴 ☀️ 🙏🏽 building my new vacation home 🏡'' Kwa Maana Ya Kuwa Anajenga Nyumba Hiyo Kwa Ajili Ya Mapumziko"
Post a Comment