Kupitia Insta Live aliyofanya, Mwanamuziki Vanessa Mdee amemjibu shabiki aliyeuliza ni lini Msanii huyo atarudi Tanzania, Vanessa amedai atakuja nchini hivi karibuni, kuna vingi vinamfanya aje, kwanza hakuwepo wakati wa mazishi ya kaka yake,pili bado hajamleta shemeji yetu Rotimi pamoja na Seven (mtoto wao, Vee & Rotimi). Hivyo lazima aje Tanzania hivi karibuni.
Unammis kwa asilimia ngapi, Vanessa Mdee kwenye game?
Post a Comment