Tuzo za Awali za TMA Zilikufa Kwasababu Yangu Adai Diamond Platnumz


Kutoka London,Uingereza mwanamuziki @diamondplatnumz akifanya mahojiano na kituo cha habari cha BBC Swahili amefunguka kuhusu msimamo wake wa kukataa kushiriki tuzo za muziki za #TanzaniaMusucAwards2022 "TMA" kuwa ni kutokana na kutokua na imani na waandaji wa tuzo hizo.

Akijibu swali la mtangazaji #SalimKikeke' Diamond ameweka wazi kuwa hata tuzo za awali za KTMA zilishindwa kuendela tena kwaSababu yake, baada ya yeye kushindwa kupewa tuzo ambayo alistahili, jambo ambalo liliwanya waandaji wa tuzo hizo kujitoa na kushindwa kufanyika kwa zaidi ya miaka 6


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post