Rapa mkongwe kutokea Marekani, Snoop Dogg amesema yeye ndio mtu mashuhuri wa kwanza kuanza kutumia mtandao wa Instagram.
Kupitia Mahojiano aliyoyafanya na #DrinkChamp ya #Nore na #DjEFN
Snoop amesema kuwa watu wengi huwa wanabisha na kusema Soulja Boy alikuwa Staa wa kwanza kuanza kuitumia instagram lakini ukweli ni kwamba yeye ndiyo alianza.
Post a Comment