Mwanamuziki Ruby Kupitia account Yake ya Instagram ameandika haya
"Najisikia tu Nife, Nikapumzike na ya Dunia"
Flaviana Matata Baada ya Kuona hivyo ameandika haya:
“Yeyote aliyeko karibu na Ruby ( @iamrubyafrica ) ahakikishe anapata usaidizi kabla ya kuchelewa TAFADHALI🙏🏾” ——— 📌 @FlavianaMatata
Je, Unadhani ni Nini kimempata Mwanamuziki Ruby
Post a Comment