Rose Ndauka Aachana na Uigizaji na Muziki, Muna Love Aguswa na Kumuandikia Haya


Muna Love Ameguswa Na Sababu Alizozitoa Muigizaji Rose Ndauka Za Kwanini Ameamua Kuachana Na Mambo Ya Uigizaji Pamoja Na Muziki Ambazo Baadhi Ametaja Kuwepo Na Kujuana, Husda, Ubabe, Manyanyaso Pamoja Na Dhuluma

#MUNA Ameshuka Kwenye Uwanja Wa Koment Katika Story Iliyopostiwa Na #SamMisago Na Kuandika...........''Uko chini naandika point . Sanaa ya bongo ni kuangaliana wale wale kuna watu wana vipaji nawengine ni awajulikan ila 🔥🔥🔥 Lakini hakuna awaonekani tu jifunze kwa wanaigeria wanavumbua vipaji kila siku awabaniani. Pole wajina na wengine wanaotamani kuonyesha vipaji vyao''






0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post