Michezo, Matokeo, ajira, Livescore,msimamo wa ligi
Rasmi, Elon Musk ameinunua kampuni ya Twitter kwa kiasi cha ($44 Billion) zaidi ya TSh. Trilioni 102
bymafekeche-
0
Rasmi, Elon Musk ameinunua kampuni ya Twitter kwa kiasi cha ($44 Billion) zaidi ya TSh. Trilioni 102. Hivyo tajiri huyo namba moja duniani kwa sasa ndio mmiliki wa mtandao huo wa Kijamii na ameahidi kuufanya bora kuliko awali.
Post a Comment