Mwimbaji Angelique Kidjo ameshinda tuzo ya Grammy usiku huu kwenye kipengele cha Best Global music Album kupitia album yake ya #MotherNature.
Kipengele hicho kilikua kinawaniwa na nyota wa muziki barani Afrika @wizkidayo kupitia album yake ya #MadeInLagos pamoja na album za wasanii wengine.
Ndugu zetu wanaijeria hawaamini wanachokiona ,maoni yako ni yapi..?
Post a Comment