Mtangazaji Masoud Kipanya azindua gari lake ‘Linatumia Umeme’



Mtangazaji na Mchora Katuni Masoud Kipanya leo amelionesha gari lake jipya linalotumia umeme alilolitengeneza kwa kutumia ubunifu wake mwenyewe.

Gari hili la umeme la Kaypee Motor ambalo alianza kulitengeneza miezi kumi na moja iliyopita linachajiwa na kujaa kwa muda wa saa sita “ukinunua gari unauziwa na chaja yake, kiko very powerful hiki kigari”

Unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi gari jipya la Masoud linalotumia Umeme.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post